Tumbatu
Huwezi kusikiliza tena

Magari ni ndoto kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar

Katika kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar hakujawahi kuonekana gari. Wakazi wa kisiwa hicho cha watu 20,00 waliowahi kuona gari ni wale waliobahatika kutoka nje ya kisiwa hicho, wengine huyaona pichani na kwenye runinga.