Huwezi kusikiliza tena

Tumbatu kisiwa kisicho na gari

Kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar licha ya kuwa na wakazi takriban elfu 20 mpaka leo bado hakuna usafiri wa gari.

Ikiwa ni moja ya visiwa vikubwa vya Zanzibar hakina umaarufu kama Unguja na Pemba kama vile biashara ya Utalii, kutokuwepo kwa chombo chocote cha moto kunawaathiri wakaazi wake.

Halima Nyanza wa BBC alitembelea kisiwa hicho.