Ivory
Huwezi kusikiliza tena

Wakenya wasemaje kuhusu kuchomwa kwa pembe?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Jumamosi ataongoza hafla kubwa ya kuteketeza tani 105 za pembe za ndovu ambazo zimekuwa zikihifadhiwa nchini Kenya. Wakenya wanasemaji kuhusu hatua hiyo? Mwandishi wa BBC Peter Njoroge alizungumza na baadhi yao jijini Nairobi.