Wajir
Huwezi kusikiliza tena

Matatizo katika sekta ya afya kaskazini mwa Kenya

Mashambulio ya mara kwa mara katika maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Kenya yanayofanywa na wapiganaji wa Al Shabaab kutoka Somalia yamesababisha matatizo mengi ya kijamii katika eneo hilo, ikiwemo ukosefu wa huduma ya afya.

Kila mara mashambulizi haya yanapotokea, matabibu wengi wasio na asili ya eneo hilo hutoroka na kuacha bila ya huduma.

Mwandishi wa BBC Bashkash Jugsodaay alitembelea hospitali kuu ya serikali mjini humo.