Papa
Huwezi kusikiliza tena

Maelfu waomboleza kifo cha Papa Wemba

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mjini Bukavu katika jimboni Kivu ya Kusini, wakazi wanaendelea kuomboleza kufuatia kifo cha mwanamuziki nguli wa muziki wa rumba Papa Wemba aliyefariki wiki moja iliyopita.

Serikali imetangaza siku tatu za maombolezo kuwapa fursa raia kutoa heshima za mwisho kwa nyota huyo.

Mwandishi wa BBC Byobe Malenga yupo mjini Bukavu na anasimulia kuhusu hali ilivyo.