Usomaji
Huwezi kusikiliza tena

Utamaduni wa usomaji wa vitabu Tanzania

Shirika la UNESCO linasema utamaduni wa kujisomea vitabu unazidi kupungua duniani. Tanzania ilifikia kiwango cha juu zaidi cha usomaji wa vitabu katika miaka ya 70.

Katika kipindi hiki tunahoji mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa lini? Kitabu kilihusu nini na kikakusaidiaje katika maisha yako ya kila siku?