Congo
Huwezi kusikiliza tena

Watu 16 wauawa mashariki mwa DR Congo

Washambuliaji waliokuwa wamejihami kwa panga na mashoka wamewaua takriban watu 16 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Maafisa wamesema wavamizi walishambulia eneo la Beni majira ya usiku.

Mwandishi wa BBC Byobe Malenga anaeleza zaidi.