Leicester
Huwezi kusikiliza tena

Kuufahamu mji wa mabingwa wa EPL, Leicester

Leicester City wamekuwa mabingwa wa Ligi kuu ya England kwa mara ya kwanza katika historia yao ya miaka 132.

Mwandishi wetu Zuhura Yunus alitembelea mji huo huko Uingereza ambapo aliwahi kuishi na kusoma pia.