Huruma
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke atolewa akiwa hai kwenye vifusi Nairobi

Mwanamke ametolewa akiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

Amepelekwa hospitalini.

Juhudi za uokoaji bado zinaendelea.

Mwandishi wa BBC Anthony Irungu alishuhudia mwanamke huyo akitolewa kwenye vifusi.