Zambia
Huwezi kusikiliza tena

Kushambuliwa kwa raia wa Rwanda nchini Zambia

Wanyarwanda wanaoishi nchini Zambia wamekuwa wakishambuliwa na wenyeji wanaowatuhumu baadhi yao kwa kuhusika katika mauaji ya kishirikina.

Maduka 62 yanayomilikiwa na Wanyarwanda yaliporwa huku maafisa wa usalama wakiwakamata zaidi ya watu 250 katika kipindi cha siku mbili za fujo.