Huruma
Huwezi kusikiliza tena

Manusura zaidi wapatikana kwenye vifusi Nairobi

Ni wiki moja sasa tangu jengo la ghorofa sita liporomoke mjini Nairobi Kenya.

Waokoaji Alhamisi walifanikiwa kuokoa watu watatu zaidi wakiwa hai kutoka kwenye vifusi.

Awali mchana wa mwanamke mmoja aliokolewa pia na kufanya idadi ya waliookolewa kufikia wanne.

Mwandishi wetu Anne Soy ana maelezo zaidi.