Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Tatizo la kudumaa kwa watoto Tanzania

Utafiti unaonesha Tanzania ni nchi ya tatu Afrika, nyuma ya Ethiopia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuwa na watoto wenye kudumaa.

Jitihada gani mpya na za ziada zinahitajika kupunguza au kuondoa kabisa tatizo la udumavu nchini Tanzania?