Huwezi kusikiliza tena

Cameron mwenyeji wa mkutano wa Rushwa

Viongozi kutoka mataifa tofauti wanakutana mjini London katika mkutano wa kwanza kufanyika wa kupambana na rushwa Duniani.

Mwenyeji wa mkutano huo utakaowaleta pamoja pia wafanyabiadhara na jumuia nyingine za kiraia ni Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron.

Sikiliza mahojiano kati ya Halima Nyanza na Peter Musembi wa BBC kuhusiana na mkutano huo.