Sode
Huwezi kusikiliza tena

Mshairi kutoka Nigeria azungumzia maisha ughaibuni

(ONYO: Video inatumia lugha inayoudhi)

Yomi Sode ni mwandishi mtunzi na mshairi kutoka Nigeria na amekuwa akitumia sanaa kupitisha ujumbe.

Je, maisha ya Mwafrika anapokuwa Ulaya na baada ya kurejea nchini mwake huwa vipi? Anajadili.