Uzembe
Huwezi kusikiliza tena

Uzembe utamalizwa vipi nchini Tanzania?

Utafiti uliofanyika hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) umebaini kwamba asilimia 71 ya Watanzania wanatumia muda mwingi kufanya shughuli zisizokuwa za uzalishaji mali wala tija binafsi kwao na Taifa kwa ujumla.

Kwa maoni yako kwa namna gani tunaweza kutengeneza kizazi chenye kutumia muda wake kwa maendeleo ya taifa?