Somaliland
Huwezi kusikiliza tena

Miaka 25 tangu Somaliland ijitangazie uhuru

Eneo la Somaliland, nchini Somalia, linaadhimisha miaka 25 tangu kujitangazia uhuru. Hatua hiyo haikutambuliwa na jamii ya kimataifa.

Kinyume na maeneo mengine ya Somalia, jimbo hilo limekuwa na amani na mifumo ya kisheria.