Maandamano
Huwezi kusikiliza tena

Maandamano ya upinzani Kenya

Muungano wa upinzani nchini Kenya CORD umefanya maandamano katika miji mikuu nchini humo kuwashinikiza maafisa wakuu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (IEBC) kujiuzulu. Mwandishi wa BBC David Wafula alishuhudia maandamano hayo.