Cecile Nyirabahutu
Huwezi kusikiliza tena

Mama aliyeishi msituni Rwanda alivyopanda ndege

Hebu fikiria, ukiishi maisha yako yote msituni, unapotoka hata kabla hujaanza kuzoea maisha ya kawaida unaambiwa panda ndege. Je, utakuwa na hisia gani?

Cecile Nyirabahutu, mwanamke raia wa Rwanda kutoka kabila la Abatwa ama mbilikimo, alizaliwa na kuishi msituni kwa muda mrefu hadi pale serikali ilipoanza kuwaondoa mbilikimo msituni.

Ilikuwaje alipopanda ndege kwa mara ya kwanza?

Alimsimulia mwandishi wa BBC Yves Bucyana kuhusu aliyopitia.