Cardiopad
Huwezi kusikiliza tena

Raia wa Cameroon ashinda tuzo ya uvumbuzi Dar

Washindi wa tuzo za ubunifu wa uvumbuzi katika teknolojia ya uhandisi barani Afrika wametangazwa katika hafla iliyoandaliwa mjini Dar es salaam.

Tuzo hizo imetolewa kwa mwaka wa pili sasa ikiandaliwa na Royal Academy of Innovation ya Uingereza wakitafuta kutunza na kuwaendeleza wabunifu katika tasnia ya teknolojia.

Washindani wanne bora walikuwa kutoka nchi za Kenya, Afrika ya Kusini , Uganda na Cameroon.

Mwandishi wetu Tulanana Bohela anaarifu zaidi.