Rais Muhamadu Buhari
Huwezi kusikiliza tena

Mafanikio ya rais Buhari mwaka mmoja madarakani

Ni mwaka mmoja tangu rais wa Nigeria Muhamadu Buhari achukue hatamu za uongozi .Lakini je, katika kipindi cha mwaka mmoja tangu aingie madarakani ameweza kupata mafanikio gani?