utumwa
Huwezi kusikiliza tena

Je, ni kweli watu wengi wanaishi kitumwa?

Maonyesho maarufu ya maua nchini Uingereza ya Chelsea yamekuwa na sura ya kipekee mwaka huu. Raia wa Tanzania Juliet Sargeant ameweka onyesho lake kama kampeni dhidi ya utumwa. Mwanamama huyu anasema mamilioni ya watu wanaendelea kuishi katika maisha ya utumwa. Utumwa umepigwa marufuku na sheria za kimataifa, lakini umechukua sura tofauti katika dunia ya sasa. Dayo Yusuf alikuwa kwenye onyesho hilo la Chelsea Flower na hii hapa taarifa yake.