Bekoji
Huwezi kusikiliza tena

Mji ulio kitovu cha wanariadha Ethiopia

Mji mdogo wa Bekoji uliopo kwenye nyanda za juu nchini Ethiopia, umetoa wakimbiaji wazuri duniani, ikiwemo wanariadha waliyonyakua medali za Olimpiki.

Wakimbiaji kama Kenenisa Bekele na, Tirunesh Dibaba wametokea katika mji huo, na wote vipaji vyao viliibuliwa na kocha Sentayehu Eshetu.

Je nini siri ya mafanikio ya mji huu.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza amekwenda kuchunguza hilo.