Nyanza
Huwezi kusikiliza tena

Utata wazidi kuhusu mauaji Tanga

Siku chache tu tangu kutokea kwa shambulio la kikatili, lililosababisha kuuawa kwa watu wanane, katika kijiji cha kibatini, mkoani Tanga kaskazini mwa Tanzania, wakazi bado wako katika mshangao na maswali yasiyo na majibu kuhusiana na wauaji hao.

Mwandishi wetu Halima Nyanza yupo mjini Tanga na ametuletea taarifa ifuatayo.