China
Huwezi kusikiliza tena

Miaka 50 tangu mapinduzi ya utamaduni Uchina

Ni miaka 50 tangu kutekelezwa kwa Mapinduzi ya Utamaduni nchini Uchina ambayo yalizua utata.

Wakati wa kilele chake, kila mtu alihitajika kubeba kijitabu chekundu cha Mao Zedong ambacho kilikuwa kama mwongozo wa sera.

Mapinduzi hayo yalianza tarehe 16 Mei, 1966 na kuendelea hadi kifo cha Mao.