Tanga
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume asimulia alivyonusurika mauti Tanga

Siku chache baada ya mauaji ya watu wanane mjini Tanga, kaskazini mwa Tanzania, maswali mengi bado hayana majibu sana kuhusu nani amehusika na shambulio hilo.

Lengo la mauaji hayo mpaka sasa haliko wazi na polisi bado wanawasaka waliohusika.

Mwandishi wetu Tulanana Bohela amefika kwenye kijiji kilichoshambuliwa na kuandaa taarifa ifuatayo.