Malkia
Huwezi kusikiliza tena

Sekunde 90 za mambo ya kushangaza kuhusu Malkia

Malkia Elizabeth alizaliwa tarehe 21 Aprili, 1926 na ameongoza Uingereza kwa zaidi ya miongo sita.

Hafla rasmi ya kusherehekea kuzaliwa kwake itaandaliwa tarehe 11 Juni.

Haya hapa ni baadhi ya mambo ya kushangaza ambayo huenda huyafahamu kumhusu Malkia Elizabeth.

Mfano, wajua amekuwa na mbwa 30 aina ya corgis wakat iwa utawala wake na aliwahi kuzawadiwa buku kutoka Canada?