Tanzania na Kenya kukabiliana fainali Cecafa
Huwezi kusikiliza tena

Kina dada wa Tanzania na Kenya kukabiliana fainali Cecafa

Leo ndiyo siku ya fainali ya mataifa bingwa Afrika mashariki na kati wanawake na tayari uongozi wa CECAFA umethibitisha kuwa umekamilisha taratibu zote za mechi.

Mwandishi wetu Issaac Mumena ana maelezo zaidi.