Ukweli kuhusu wacheza soka wa nchi za Afrika
Huwezi kusikiliza tena

Ukweli kuhusu wacheza soka wa nchi za Afrika na maisha wanayoishi

Utafiti mkubwa kuhusu masuala ya soka duniani unaonyesha kuwa maisha miongoni mwa baadhi ya wanasoka wa afrika, yana tofauti kubwa na maisha ya wale walio na bahati ya kusakata soka kwenye vilabu vikubwa duniani.