Wasichana wavutiwa na raga Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Wasichana wavutiwa na mchezo wa raga Uganda

Mbali na michezo ya soka na ngumi nchini Uganda, mchezo wa raga unaendelea kuwavutia wasichana zaidi. Wengi wa wachezaji ni wale waliowahi kucheza aina ya raga amabayo inafahamika kama Tag Rugby, na huchezwa na watoto wa umri mdogo, lengo lake likiwa kuwaepusha kuumia michezoni.

Tulanana Bohela ametembelea uwanja wa Kyandondo, kampala kujionea mwenyewe raha ya raga.

Mada zinazohusiana