Mashindano ya ndondi ya WBA

Image caption Nick Otieno

Bondia wa Kenya Nick Otieno na mkanda wa Afrika uzani wa super fly chama cha WBA. Alimshinda Haji Juma wa Tanzania kwa pointi pigano la raundi 12.

Image caption Fadhili Majiha

Fadhili Majiha wa Tanzania alimshinda Gabriel Ochieng wa Kenya na kutwaa taji la Afrika uzani wa Super Bantam.

Image caption Okwiri amuondokea Salehe Mkalekwa baada ya kumuangusha raundi ya tatu
Image caption Mashindano ya ndoni ya WBA