Chelsea watoka sare ya 1-1 na Burnley

Chelsea yatoka sare ya 1-1 na Burnley Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Chelsea yatoka sare ya 1-1 na Burnley

Chelsea ilipoteza fursa ya kuongzoa kwa pointi 12 katika jedwali laa ligi baada ya kutoka sare ya bao moja na Burnley.

Burnly walishinda mechi zao nne za nyumbani bila ya kufungwa bao.

Chelsea waliitawala mechi na ndio walikuw wa kwanza kuona lango la Burnley dakika ya 7 baada ya kuanza kwa mechi.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Chelsea yatoka sare ya 1-1 na Burnley

Hata hivyo Robbie Brady ambaye aliihama Norwich mwezi Januari alisawasisha dakika ya 24.

Matokeo ya mechi hiyo yanaiweka Chelsea mbele na kufungua mwanya ya pointi 10 na Tottenham katika jedwali la ligi.