Bingwa mtetezi Epl hali ngumu

England
Image caption Leicester City

Bingwa mtetezi wa ligi kuu ya England Leicester City wameendelea kuwa na msimu mbaya kwa kupoteza mchezo wa tano mfululizo.

Leicester City wamekubali kichapo cha mabao 2-0 ugenini dhidi ya Swansea City , Mabao ya Swansea yalifungwa na Alfie Mawson na Martin Olsson.

Kipigo hiki kimemshusha bingwa huyo mtetezi wa ligi katika nafasi ya 17 na kuwa mbele ya tatu tatu zinazopigania kutoshuka daraja.

Kwa upande wa Swansea, ushindi umewasaidi kupand ampaka nafasi ya 15 chini ya meneja mpya Clement