James Onyango wa Kenya ahifadhi ubingwa wake wa Afrika na Jumuiya ya Madola uzani wa welter
Huwezi kusikiliza tena

James Onyango wa Kenya ahifadhi ubingwa wake wa Jumuiya ya Madola uzani wa welter

James Onyango wa Kenya alihifadhi ubingwa wake wa Afrika na Jumuiya ya Madola uzani wa welter Jumamosi usiku mjini Nairobi alipomshinda Patrick Atuhairwe wa Uganda. Hilo ndilo lilikua pigano kuu la siku kwa magigano saba yaliyodhaminiwa na Bigger than Life Entertainment ya Marekani……John Nene alikua kando ya ulingo katika hoteli ya Carnivore, na anatusimulia pigano la Onyango na Atuhairwe…..