Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018

Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018 Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018

Watu nchini Misri wanasherehekea kufuzu kwa taifa hil kushiriki mechi za kombe la dunia kwa mara ya kwanza katika miaka 28.

Mashabiki wenye furaha wamekuwa wakisherehekea usiku kucha

Lilikuwa bao la dakika ya mwisho dhidi ya Congo-Brazzaville.

Mohamed Salah aliifungia Misri penalty dakika ya 95 na kuwashinda Congo mabao 2-1

Bao hilo la nyota wa Liverpool limesababisha kuwepo sherehe nyini nchini Misri

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018

Mada zinazohusiana