Wakenya wanaoruka kwenye majengo 'kama paka'
Huwezi kusikiliza tena

Parkour: Wakenya wanaoruka kwenye majengo 'kama paka'

Nchini Kenya kuna vijana ambao wamekumbatia mchezo wa kuruka kwenye majengo na vitu vingine jijini Nairobi. Mchezo huo hufahamika kama Parkour.

Kwa nini wakaingia kwenye mchezo huu. Kuna changamoto?

Mada zinazohusiana