9 Mei, 2010 - Imetolewa 18:27 GMT

Picha za funga msimu England 2010

Chelsea bingwa England 2010

 • Frank Lampard
  Frank Lampard akitandika mkwaju wa penati kuipatia Chelsea goli la kwanza.
 • Salomon Kalou
  Salomon Kalou akifurahia kazi nzuri ya kupachika goli katika mechi ambayo Chelsea walifunga 8-0 dhidi ya Wigan waliokosa majibu.
 • Darren Flecher
  Manchester United licha ya kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Stoke City, pointi 85 hazikutosha kuwapa ubingwa wa msimu huu, wameambulia nafasi ya pili..
 • Wachezaji wa Arsenal wakishangilia mojawapo ya magoli yao.
  Robin van Parsie akifurahia goli na Theo Walcott, Arsenal wamefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.