Jamaica yategemea vijana

Imebadilishwa: 2 Septemba, 2012 - Saa 17:14 GMT

Kim Collins

Kemar Bailey-Cole amezidi kuipeperusha bendera ya Jamaica licha ya kuwakosa nyota wa nchi yake Usain Bolt na Yohan Blake kwenye mashindano ya riadha ya ISTAF yaliyofanywa jumapili kwa kushinda mbio za mita 100 na pia mbio za mita 100 kupokezana vijiti.

Bailey-Cole alifikia kiwango chake cha sekunde 10 aliouweka kwenye uwanja wa Berlin kumaliza mbio hizo mbele ya bingwa wa Dunia wa zamani Kim Collins wa visiwa vya St. Kitts na Nevis na wa tatu akawa Jimmy Vicaut wa Ufaransa.

Kijana huyo chipukizi mwenye umri wa miaka 20 mapema aliisaidia Jamaica katika mbio za mita 100 kupokezana vijiti katika mda wa sekunde 40.58 akitegemea mchanganyiko uliotokea kati ya Darvis Patton na Wallace Spearmon wa U.S.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.