Balotelli kuuzwa kwa mkopo

Imebadilishwa: 11 Disemba, 2012 - Saa 12:06 GMT
Paulinho

Paulinho mchezajiw aCorinthians na Brazil

Kocha wa Manchester City, Roberto Mancini anataka kumsajili nyota wa klabu ya Corinthians, Paulinho anayekisiwa kugharimu pauni milioni 12. Paulinho ameichezea timu ya taifa ya Brazil mechi saba.

Ripoti zaidi zinasema Mario Balotelli, mwenye umri wa 22, huenda akauzwa kwa mkopo kwa klabu ya SC Millan ili kutoa nafasi ya mchezaji huyo wa Corinthians kusajiliwa.

Soma habari kamili http://www.mirror.co.uk/sport/football/transfer-news/manchester-city-transfers-paulinho-corinthians-1483800

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.