Read Madrid kumsajili Falcao

Imebadilishwa: 11 Disemba, 2012 - Saa 12:20 GMT

Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa inamatumaini makubwa ya kuwapiku wapinzani wao Chelsea na Manchester City, katika harakati za kumsahili mshambulizi matata wa Athletico Madrid, Radamel Falcao, kutoka Colombia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, alifunga magoli matano wakati wa mechi kati ta Athletico Madrid na Deprtivo La Coruna, ambayo waliibuka na ushindi wa mabao 6-0.

Bofya Maelezo zaidi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.