Liverpool mbioni kusajili Cole na Ince

Imebadilishwa: 12 Disemba, 2012 - Saa 14:26 GMT
Joe Cole

Mchezaji wa Chelsea Joe Cole

Joe Cole amekariri kuwa anataka kuhakikisha kuwa ameteuliwa kuwa miongoni mwa wachezaji kumi na mmoja wa Kwanza wa Liverpool, licha ya kuwa huenda ndoto hiyo isitimie kutokana na ushindani mkali.

Ripoti zaidi zinasema kuwa Liverpool inakaribia kuwasajili wachezaji wawili kwa kitita cha pauni millioni Kumi na Nane.

Wachezaji hao wanaosakwa na Liverpool ni pamoja na mcheza kiugo wa wa Chelsea Daniel Sturridge na mchezaji mkongwe Tom Ince anayeichezea klabu ya Blackpool.

Duru zinasema kuwa mazungumzo kuhusu usajili wa wachezaji hao wawili yanakaribia kumalizika.

Bofya Soma maelezo zaidi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.