Lukaku hataki kuichezea tena Chelsea

Imebadilishwa: 24 Disemba, 2012 - Saa 15:41 GMT
Romelu Lukaku

Romelu Lukaku

ROMELU LUKAKU ametangaza rasmi kuwa hana nia ya kurejea tena katika klabu yake ya Chelsea ikiwa atakuwa miongoni mwa wachezaji wake wa ziada.

Lukaka amesema yuko tayari kuendelea kuichezea West Brom kwa mkopo msimu ujao.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 aliifungia West Brom bao lake la pekee na kuipa timu yake ushindi wake wa kwanza msimu huu.

Bofya Maelezo zaidi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.