Murray amshinda Federer

Imebadilishwa: 25 Januari, 2013 - Saa 12:58 GMT

Andy Murray baada ya kushinda mechi yake dhidi ya Federer

Andy Murray ameshinda Roger Federer, kwa mara ya kwanza katika mashindano ya Tenis ya Australian Open.

Murray alimshinda Federer katika nusu fainali ya mashindano hayo kwa seti tatu kwa mbili na kujikatia tikiti ya fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika siku ya Jumapili.

Murray sasa atapamabana na Novak Djokovic katika fainali hizo baada ya kumuondoa Federer ambaye anaorodheshwa mchezaji nambari mbili duniani katika mchezo huo.

Maelezo zaidi yatafuata.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.