Ghana 3 Mali 0

Imebadilishwa: 28 Januari, 2013 - Saa 18:14 GMT
Timu ya soka ya Ghana

Ghana inaelekea kufuzu kwa robo fainali ya michuano ya kuwania kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Afrika.

Kufikia dakika ya 51 Ghana inaongoza kwa magoli matatu kwa bila dhidi ya Niger.

Ghana ilipata bao lake la kwanza kupitia kwa nyota wake Asamoah Gyan kunako dakika ya sita.

Niger ilijibu dakika mbili baadaye lakini bao hilo likakataliwa na refa wa mechi hiyo ambaye alisema kuwa washambuliajai wa Niger walimsukuma mlinda lango wa Ghana.

Kunako dakika ya 22, Ghana ikafunga bao lake la pili.

Timu hizo zilionekana nguzu huku pande zote zikifanya mashambulio ya mara kwa mara.

Kufikia wakati wa mapunziko Ghana ilikuwa bado kifua mbele kwa magoli mawili kwa yai.

Muda mfupi baada ya kipindi cha piliu kuanza Ghana ilididimiza matumaini ya Niger kwa kufunga bao la tatu kupitia kwa nyota wake John Boye.

Ghana inaongoza kundi hilo na alama saba ikifuatwa na Mali na alama nne, DRC ni ya tatu na alama tatu huku Niger ikivuta mkia na alama moja.

Wenyeji wa mashindano hayo Afrika Kusini na Cape Verde wamefuzu kwa robo fainali katika kundi A nayo Ivoru Coast imejikatia tikiti ya robo fainali katika kundi D, baada ya kushinda mechi zake mbili za kwanza.

Vikosi

Niger Kikosi cha Ghana

Daouda,

Bachard,

Dankwa,

Chicoto,

Kourouma,

Koudize,

Soumaila,

Lancina,

Talatou,

Maazou,

Sidibe.

Wachezaji wa ziada

Alzouma,

Kader,

James,

Laouali,

Kamilou,

Dante,

Sakou,

Boubacar,

Alassane,

William,

Moutari.

Dauda,

Pantsil,

Boye,

Vorsah,

Afful,

Agyemang-Badu,

Rabiu,

Adomah,

Asamoah,

Atsu,

Gyan.

Wachezaji wa akiba

Agyei,

Richard Boateng,

Awal,

Annan,

Derek Boateng,

Akaminko,

Asante,

Clottey,

Boakye,

Mensah,

Kwarasey.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.