Mkenya aweka rekodi mpya ya Mbio

Haki miliki ya picha d
Image caption Mwanariadha Wilson Kipsang ashinda mbio za Berlin Marathon mwaka uliopita

Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon zilizondaliwa mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.

Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 alishinda mbio hizo kwa muda wa saa mbili,dakika na sekunde 57 ambapo aliivunja rekodi ya awali kwa sekunde sita

Rekodi ya awali iliwekwa na mkenya mwenzake Wilson Kipsang katika mbio hizo mwaka uliopita.