Mancity yachuana na Totenham

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Adebayor

Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City huenda wakampuzisha Yaya Toure aliyeichezea timu yake ya taifa, iwapo atakuwa amechoka na badala yake huenda wakamchezesha mchezaji Frank lampard katika nafasi yake.

Vilevile Kilabu hiyo itamkosa mlinzi wake Eliaquim Mangala ambaye ana jeraha la paja.

Timu ya Totenham nayo ina wasiwasi kuhusu mlinda lango wake Hugo Lloris na Nacer Chadli baada ya wachezaji wote wawili kutoka katika mechi za kimataifa na majeraha.

Kyle Naughton yuko nje na jeraha la mguuni huku Emmanuel Adebayor na Nabil Bentaleb wakiendelea kuchun