Afrika Kusini kinara-kriketi

Image caption Furaha ya ushindi

Timu ya kriket ya Afrika Kusini, imeendelea kufanya vizuri katika michuano ya kombe la dunia la kriketi kwa kuichapa Sri Lanka.

Afrika Kusini walipata ushindi kwa wiket nane dhidi ya mpinzani wake, na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Ushindi wa kwanza mtoano katika miaka 23 ya kucheza Kombe la Dunia cricket Afrika Kusini inachukua yao ya kwanza ya nusu fainali tangu maarufu kushindwa kwa Australia mwaka 1999.

Mchezo unaofuata watakabiliana na kati ya New Zealand au West Indies katika mji Auckland siku ya jumanne.