Djokovic bingwa BNP Paribas Open

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Novak Djokovic

Mcheza tenis namba moja duniani Novak Djokovic ilikuwa ni furaha pale aliponyakua ubingwa wa BNP Paribas Open kwa mshinda mpinzani wake Roger Federer kwa set 6-3 6-7 (5-7) 6- huko indian Wells nchini Marekani.

Djokovic mwenye miaka 27 alikuja juu na kutawala mchezo tangu mwanzo ambapo baade Federer akajitutumia lakini akaishia kuchapwa na mpinzani wake.