Murray ashinda, Federer atupwa nje

Haki miliki ya picha AP
Image caption Andy Murray

mcheza tenesi Andy Murray ameibuka na ushindi dhidi ya philipp kohlschreiber katika michuano ya wazi ya madrid.

Murray ameshinda kwa seti 6-4 3-6 6-0 mchezo uliokua na upinzania mkali kwa muda wote

kwa ushindi huu nyota huyu wa tenesi atachuana na marcel granollers wa hispania siku ya jumanne.

huku roger federer akitupwa nje ya michuano hiyo kwa kuchapwa na nick kyrgios kwa seti 7-6 (7-2) 6-7 (7-5) 6-7 (14-12)

rafael nadal nae alimchakaza steve johnson wa marekani kwa 6-4 6-3.