Kombe la dunia kwa wanawake

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Christine Sinclair akifurahia ushindi

Michuano ya kombe la dunia la wanawake,inaendelea huko canada katika miji tofauti tofauti.michuano hiyo ya kombe la dunia kwa wanawake liliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili kupigwa

kati ya Norway .. waliopepetana na ... thailand

ujeruman.. ilioonesha kazi pwani ya samawati ,naizungumzia ivory coast

na matokeo yalikuwa hivi,Norway waliibuka na mtaji wa magoli manne huku Thailand wakikubali matokeo,na kutulia na yai.

kwa upande mwingingine kwenye mechi ya pili ujerumani walijizolea magoli yao mawili na kuwaacha Ivory coast mikono mitupu.