West Ham yasonga mbele Europa league

Haki miliki ya picha
Image caption Mashabiki wa West Ham

Ligi ya Europa iliendelea hapo jana ambapo West Ham ya England imesonga mbele katika hatua ya mzunguko wa tatu baada ya kuiondoa Birkirkara ya Malta kwa penalt 5-3.

Matokeo mengine haya hapa chini

Newtown AFC 1 - 3 FC Copenhgn

Astra Giurgiu 0 - 0 Inverness CT

Aberdeen 2 - 2 HNK Rijeka

Birkirkara FC 1 - 0 West Ham

West Ham United imeshinda 5-3 kwa penalti

Linfield 1 - 3Spartak Trnava

Shirak FC 0 - 2 AIK

Alashkert FC 2 - 1 Kairat Almaty

Debrecen 9 - 2 Skonto Riga

Dinamo Minsk 4 - 0 Cherno More Varna

FK Qabala 2 - 0 FK Cukaricki

FK Spartaks Jurmala 1 - 1 FK Vojvodina

Inter Baku 2 - 2 FH Hafnarfjördur